» » Wana Lakezone voice collection


]Wana Lakezone voice collection ni muungano wa Waimbaji wa nyimbo za Injili wa kanda ya ziwa ulianyishwa Juni 5 mwaka 2010 ambapo mpaka una zaidi ya vikundi 13 vya uimbaji. Mwenyekiti ni Emmy Lema, Katibu ni Bahati Kihayile, mweka hazina ni Revocatus Bandiko,kiongozi wa Maombi ni Lidyia Masasi kiongozi wa nidhamu ni Pasta Victor Mlahagwa, pia kuna wajumbe kama mwinjilisti Happiness Ndyamukama, pendo Kihayile, Julieth Mtebe, Macho Makavu, paul shole, Sis Vanesa, Agness Nkugwe, Martha Ramadhani na wengine wengi. Wewe uliyeokoka mwimbaji unakaribishwa, wana Umoja wako tayari kutumika mahali popote ndani na nje ya Mwanza watakapokaribishwa na Mchungaji yeyote bila kujali dhehebu kwa gharama zao.mbarikiwe

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply

Popular Articles

Featured Post

Siku 16 za kupinga ukatili